Kicampalagian

Kicampalagian (pia Kitasing) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wacampalagian kwenye kisiwa cha Sulawesi. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kicampalagian imehesabiwa kuwa watu 30,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kicampalagian iko katika kundi la Kisulawesi-Kusini.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search